July 11, 2020

Day

Famers day in the field
Mradi wa RIPAT-SUA, ambao untatekelezwa kwa ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) na Shirika lisilo la kiserikali la RECODA (Research, Community and Organizational Development Associates) unawezesha wakulima Wilayani Mvomero na Manispaa ya Morogoro kutumia teknolojia mbalimbali za kilimo na ufugaji. Mradi huo ambao ni sehemu ya makubaliano ya ushirikiano (MoU) kati...
Read More